Poker
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 6,515
- 18,988
🙌 Ndio ntolee hiyoo!Irudiwee irudiwe jamani!!
🙌 Ndio ntolee hiyoo!Irudiwee irudiwe jamani!!
Acha mambo yako weka vituu Mkuu!!🙌 Ndio ntolee hiyoo!
Kwani kuna shida???? Weka banaSitumi tena mahondaw maana nishaitwa msomali
Pole na samahani mkuu.We nawe. Hata sijui umetokea wapi. U mgeni katika uzi huu?
Punguza kujipendekeza na kutaja taja watu hovyo. Wewe kama unatongoza jitose ukatongoze tu lakini hakuna ulazima wa kutaja taja wanaume wenzio humu. Wanaume hatuko hivyo. Kha!![]()
Poker naona umefurahi naPole na samahani mkuu.
Sikujua kama hii itakuudhi.
Kuhusu utani mimi na wewe sio mara ya kwanza..tangu tukiwa uzi wa likes.
Mimi sitakulaumu siku huwa hazifanani huenda haikuwa siku njema kwako.
Nikujuavyo siku zote u mtu poa na muungwana.
Iwapo kwa namna yoyote imeonyesha nimekudhalilisha..narudia kukuomba radhi na amani itawala.
Sisi ni watu wa kupita na siku zote tuko hapa kwa ajili ya kufurahi kwani siku za mwanadamu ni chache ..ndio masna hapa kufurahi na si vinginevyo.
Pole ndugu.
Na uniwie radhi
Shimba Ya Buyenze
Nishaogopa uwendaikawa unanijua ikawa nongwaKwani kuna shida???? Weka bana
🤣😂 Naona umepewa za uso! 🙌🤣 Mbavu zangu!
Mbona ni kawaida mnazipiga kiume ..mnajifuta na maisha yanasonga mbele😂😂🤣😂 Naona umepewa za uso! 🙌🤣 Mbavu zangu!
Acha woga mkuu mbona unakua kama ni mgeni wa selfika jamani!!!🙄Nishaogopa uwendaikawa unanijua ikawa nongwa
Abee mkuu umeeniita???😜😉
Muone kwanza😁Abee mkuu umeeniita???😜😉
Yalishaisha totoo nyie wanaume mjue!!!!Mbona ni kawaida mnazipiga kiume ..mnajifuta na maisha yanasonga mbele😂😂
Au ulitaka na mimi nitoe povu? 😂😂
Hata sikuona...nimeona muda huu totoo😄Yalishaija totoo nyie wanaume mjue!!!!
Nakusalimia in selfika' s name 🖐️Muone kwanza😁
🖖🖖🖖Nakusalimia in selfika' s name 🖐️
We umekubalije kudhalilishwa kabisa tena mbele ya mrembo mwenye shape lake! 🤣🤣 Usikubali mkuu lipiza aisee 😂 amekuaibisha kwa kweli na vile huna baya na mtu 😞Mbona ni kawaida mnazipiga kiume ..mnajifuta na maisha yanasonga mbele😂😂
Au ulitaka na mimi nitoe povu? 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 naomba uselfike mkuu!!😉🤣😂 Naona umepewa za uso! 🙌🤣 Mbavu zangu!
Unaitikia " Selfii ziendelee"🤣🤣🤣😉