Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Hapo sawa dear x😬😬😬😬😬 Basi Simba mmeshinda moya na yanga kapata sufuri nataka kichanga changuu
Hapo sawa dear x😬😬😬😬😬 Basi Simba mmeshinda moya na yanga kapata sufuri nataka kichanga changuu
Mimacho hiyo 😂😂Depal anishangaze mieView attachment 2242529
Ndio maana nilikuwa nakupenda hadi kuumwaaa 😍😍 dear find the value of XHapo sawa dear x
Sikujua kumbe ni mtabiri mpendwa 😬Nilikwambia mnafungwaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2242540
Kumbe sasa hunipendi aisee nakitoa 🤰🏾Sasa hivi😬😬Ndio maana nilikuwa nakupenda hadi kuumwaaa 😍😍 dear find the value of X
Hahahaha wali na picha ya samakiView attachment 2242501View attachment 2242502
Hatuwezi huyo [emoji28][emoji28][emoji28] kula kwao kwenye ndio huko
eeeh umeyatamani tayariMimacho hiyo 😂😂
No no noo dear ex toka lini niache kukupendaaa tena huku unakichanga changu tumboni tena tu pachaaa 😅😅😅Kumbe sasa hunipendi aisee nakitoa 🤰🏾Sasa hivi😬😬
wapare moja hiyoo mwingine huyu anasaka miaHahahaha wali na picha ya samaki
Mji umetulia kimyaaaa, hauna fujo wala mdomo mdomo 😅😅😅Nilikwambia mnafungwaaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2242540
Mkuu inatosha sasawapare moja hiyoo mwingine huyu anasaka miaView attachment 2242576
Dera Ex nakupenda sana, nitunzie mtoto wangu ambae bado yupo tumboni mwako, usisahau dua tu.. acha nilale nipumzishe mwili sasa wenye usingizi ni wavivu 😅😅Kumbe sasa hunipendi aisee nakitoa 🤰🏾Sasa hivi😬😬
Nilikuwa namzingua mtani wangu Mpare. Kumbe ikawa kweli.Sikujua kumbe ni mtabiri mpendwa [emoji51]
[emoji23][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Poleni sana
Ooooh hapo sawaaHapo ni Kalenga nilikua napuyanga tu hayo maeneo.
Bora ameandika kisomi zaidiNilikuwa namzingua mtani wangu Mpare. Kumbe ikawa kweli.
Poleni wana Shimba. Mwaka huu haukuwa wenu!
View attachment 2242612
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan alikua ana andikaje dea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora ameandika kisomi zaidi
Kweli amekuwa Dr sasa
Eeh alikuwa anaandika ovyo sanaKwan alikua ana andikaje dea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]