Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Acha nimuahie shangazi yangu Strawbella hii ngoma
Peleka after match, alfajiri hutamkuta atakua church😅😅 nitapeleka alfajiri au unaonaje
Hapo ni Kalenga nilikua napuyanga tu hayo maeneo.Oooooh wilaya ipi?
😅😅😅 alfajiri anakuwa kakunja ndita mda wote utafikiri umemuasha kumbe kaamka mwenywePeleka after match, alfajiri hutamkuta atakua church
Ndio hivyohivyo kanseno😆
U luk so mwaa
Nilikua nimesinzia etiLenie nasikiliza hii sasa hivi nafika hapoView attachment 2242201
Ah mrembo naona mtoko wa wikend....waenda beach gani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shuka hapo makumbusho basi tupate dinnerBeach wapi mzabzab ...uncles ndo wenye mtoko, mie nilikuwa ofisini, sasa hivi nimezagaa zagaa tu 😁😁View attachment 2242371
Tabia mbaya😅😅😅 alfajiri anakuwa kakunja ndita mda wote utafikiri umemuasha kumbe kaamka mwenywe
Yule mtoto aliyelala juu ya TV showcase 😀😀😀