Sleep well 😊This is the way You Father me
I love the way You Father me
This is the way You Father me
I love the way You Father me can you feel His Fatherly love I love the way
I love the way You Father me
This is the way You Father me
I love the way You Father me yeah
😊😊😊😊 Lenie bye
Eeh alikuwa anaandika ovyo sana
Mpaka sisi wengine tunaumia ..Simba ikishindwa tu huyo na tweet zake .
Anapenda mitandao huyu mbaba mpaka tiktok yupo![]()






leo ndo amejua umuhimu wa kuchukua wachezaji wenye viwango, ubakhili sana huyu baba, yaan kanikera leo, sema tyuuh Record zinatubeba bado tuna tamba, vinginevyo leo tungekoma mtaaani. Kuna wanaume mna upendo.. hongeraaMara mojamojaa,nimempikia wife ka msosi anakopenda(mapishi ya kiumee),kumpongeza kwa ushindi,leo naona naitwa majina mazuri zuriii!!
Hongereni sanaa wana yanga.
labda kombe la kuku wa mabua au cha kunywea majileo ndo amejua umuhimu wa kuchukua wachezaji wenye viwango, ubakhili sana huyu baba, yaan kanikera leo, sema tyuuh Record zinatubeba bado tuna tamba, vinginevyo leo tungekoma mtaaani.
Afanye usajiri wa maana. Tunataka msimu ujao hadi kombe la kuku tunyanyue kwapa.
leo ndo amejua umuhimu wa kuchukua wachezaji wenye viwango, ubakhili sana huyu baba, yaan kanikera leo, sema tyuuh Record zinatubeba bado tuna tamba, vinginevyo leo tungekoma mtaaani.
Afanye usajiri wa maana. Tunataka msimu ujao hadi kombe la kuku tunyanyue kwapa.
labda kombe la kuku wa mabua au cha kunywea maji






furaha mliyonayo leo, tulikua nayo kwa miaka 4, ko hakna cha kututambia. Mtulie tyuuh. Mwakani lazima furaha na burudani irudi msimbazi, wana jangwan wameshinda lakini hawana furaha kabisa, wakikumbuka record wanabaki kuwa wapolee,Ah kwa kweli leo wameona umuhimu wa kuwa na striker pale msimbazi .
Hakika msimu ujao mambo yatakuwa mazuri zaidi tusubirie vitu vizuri .
Yeah Simba imepata mafanikio kwa miaka basi tunaringia hicho .. na pia tuna vibe hao wana msimbazi .
Ah lazima msimu ujao turudishe ushindi nyumbani ..






Mwakani lazima furaha na burudani irudi msimbazi, wana jangwan wameshinda lakini hawana furaha kabisa, wakikumbuka record wanabaki kuwa wapolee,
Naamini Boss atafanya maajabu ya usajiri huyu mwaka. Wacha tusubiri.
. Na wew Simba kumbeMwakani lazima furaha na burudani irudi msimbazi, wana jangwan wameshinda lakini hawana furaha kabisa, wakikumbuka record wanabaki kuwa wapolee,
Naamini Boss atafanya maajabu ya usajiri huyu mwaka. Wacha tusubiri.
Kuna mtu hapa kaniwakia, nkamuambia semi final tulikutan mwaka juzi, tuliwachapa ngapi? Kabaki kimyaaaa,Ah wana Simba hatuna shughuli ndogo kabisa
Tuna vibe hao.
Ah ngoja tusubiri tuone usajili utakuwaje next season.






Hahahha bora alivyonyamaza tuKuna mtu hapa kaniwakia, nkamuambia semi final tulikutan mwaka juzi, tuliwachapa ngapi? Kabaki kimyaaaa,![]()

Yanga tunatembea vifua mbeleeMara mojamojaa,nimempikia wife ka msosi anakopenda(mapishi ya kiumee),kumpongeza kwa ushindi,leo naona naitwa majina mazuri zuriii!!
Hongereni sanaa wana yanga.
Hahahha bora alivyonyamaza tu
Yasije kumpata kama yule dada
Ah Simba noma
Tutarudi tukiwa vizuri .






mashabiki wa Yanga huwa hawanisumbui kabisaa, tena wanakaa kwa kutulia, maana hawana cha kuniambia, Woyeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!






mashabiki wa Yanga huwa hawanisumbui kabisaa, tena wanakaa kwa kutulia, maana hawana cha kuniambia,
Na huwa nawaambia wakitaka waongee lugha 1 na mie, wafike ¼ final Champions league mara 2, na confederation cup mara 1.
Vinginevyo wakae chini na kuangalia wapi wanakwama, na wana vitu vya kujifunza kutoka kwa Simba.



Mnoooo, yaan mashabiki wa utopolo huwa nawakisha mapemaaa.Ah hapo unawapatia aisee , unatuwakilisha vyema
Simba ndo babalao