cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Kheeeeeh shouzzzzzz mbna ngozi imeharibika hivyo? Poleeeeh sana Dea. [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]Nina allergy ya nyama... sasa nyama ya ng'ombe nikiikaanga ikakauka kabisa nikila haina shida si ugenini nimekuta ya mbuzi nikawaambia yangu waikaange ikauke kabisa weeeeeeeehhh ilichonifanya hapa tumbo linaumaaa nimevimba mwili mzima na kuwashwa mwili mzima
Sasa mwili unawasha tumbo linaumaaa gesi si gesi kuvimbiwa si kuvimbiwa kuhara si kuhara yaniii!!
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
@Ngariba1View attachment 2242793View attachment 2242792