Nikuambie au 😊😊😊Eeh au basiii😂😂
😅😅😅😅Simulia 😂😂
Nikupe kipaza sauti?
Niambie best angu😊Nikuambie au 😊😊😊
Hapa hapa au nyuma ta stage 😅😅😅Niambie best angu😊
Weee muone hivyo, mori zake za kipare sjui kimeru zikipanda hapa tutataftana ujue😂😂😅😅😅 hana huwezo hata wa kunyanyua kidole kumpiga mtu au ndio anawatishiaga hivyo
Weee muone hivyo, mori zake za kipare sjui kimeru zikipanda hapa tutataftana ujue😂😂
Nipo moja wala haina maumivu kivileeee😬😬Dear EX Nuzulati usijificheView attachment 2242496
Ila huo wali na picha ya samaki 😅😅😅View attachment 2242501View attachment 2242502
Hatuwezi huyo 😅😅😅 kula kwao kwenye ndio huko
Ila karoho kanaumaaa 😅😅 PoleeeNipo moja wala haina maumivu kivileeee😬😬
Usiniimizie kichanga changu kwa uchungu wako wa kimojaaa tuuu 😅😅😅😅😩😩😩
Nipo shemeji. Nipo...na siondokiKaa hapa nitume