Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante shemeji.

Mimi pia kabisa namshukuru Mungu.

Binti hajambo kesho graduu anamaliza Middle School....

Japo kwa shingo upande ngoja nimuulizie hata huyo mushaija. Hajambo? [emoji51][emoji51][emoji51]
Hongera Sana aseehh!
Mpe hongera zakee kabinti ketu

Yuko poa Kama Jana Kama juzi Mungu mwema!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vumilia tu
 
Shuka hapo makumbusho basi tupate dinner
Labda late dinner maana nshaanza kushiba 😋😋
20220528_170819.jpg
 
Watoto wamagetini wapi wewe...acha zako nenda katafuta kagauni katam flni hivi tende dinner mrembo oh bahati hizi haziji mara mbili mbili baadae utaanza kuja love connect unatafuta mume sifa awe anapumua tuu
Achana na mbavu zangu mzabzab
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Imebidi nijiulize kama kuna siku itafika niwe desperate namna hiyo 🤔🤔

Ngoja niangalie hata kasketi basi...
 
Achana na mbavu zangu mzabzab
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Imebidi nijiulize kama kuna siku itafika niwe desperate namna hiyo 🤔🤔

Ngoja niangalie hata kasketi basi...
Ata sketi poa tuu...ila iwe ile ikisimama inafunika goti alafu unapiga na high heels zako....juu upige ki sleeveless blouse mie nitakuja na mkufu wa pearl na earings zake
 
Hongera Sana aseehh!
Mpe hongera zakee kabinti ketu

Yuko poa Kama Jana Kama juzi Mungu mwema!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]vumilia tu
Hongera zimefika shem...

Huyo Mshaija ndo kabisa kakwama yaani? Nshomile wenzake kakosa huko? Eti vumilia tu. Unafikiri rahisi? Baba Minza arudi mlee watoto [emoji1545]
 
Back
Top Bottom