Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Asante japo zimepauka[emoji1]Lips [emoji182]
Asante japo zimepauka[emoji1]Lips [emoji182]
Lips mpauko hizo ni balaa zaidiAsante japo zimepauka[emoji1]
Balaa Tena jamnLips mpauko hizo ni balaa zaidi
Mzee chombo safi hicho
Yeah!!chombo moja swaaaaafi kabisaMzee chombo safi hicho
Salama kabisa mkuuYeah!!chombo moja swaaaaafi kabisa
Kwema lakini mkuu
Hiyo ni depression, inachukuliwa poa tu mpaka siku mtu anapiga tukio la ajabu tunashangaaa kumbe mgonjwa wa akili.Hakika madam. Ni kama mzazi anakuwa hayupo sawa kisaikolojia; amejaza uchungu mwingi then mtoto ndiyo anakuwa fuko lake la kutemea machungu yake. Ndiyo yale mtoto anaiba Tsh 100, afu mzazi anamchoma moto vidole.
Inavyosemekana anayeamua akili za watoto ni mama na siyo baba. Sasa siku hizi tumekazana kuoa kwa kuzingatia misambwanda bila kuzingatia vigezo vingine. Tukija kupata watoto vilaza tusilalamike [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji28][emoji28][emoji28] Tunga mtihani unipe .. tungezaa katoto kangekuwa hatari ya kuotea mbalii sema na mshakaaaa na weeeeee tuuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ange ku lithi wewe mmmmmmh
Injinia, Kidinda unapafahamu? [emoji16][emoji16][emoji16]Salama kabisa mkuu
Mzee wa Kidinda[emoji111]
Umeunguza milioni 4+ hapa dah! Bayanda mna pesa za kuchezea sana...
Napafahamu mkuuInjinia, Kidinda unapafahamu? [emoji16][emoji16][emoji16]
Si ajabu umechanganya Kidinda na Nguzo Camp [emoji16][emoji16][emoji16]Napafahamu mkuu
Huwa napeleka vindama nyangu hapo kuuza na hadi sasa nipo mitaa hii chief napiga vyombo
Pole mkwe kesho nitakuitaMi napitwa tu mpwa. Wala siyo poa!
Mzee mitaa yangu ya kujidai hiiSi ajabu umechanganya Kidinda na Nguzo Camp [emoji16][emoji16][emoji16]
Nitashangaa sana kama umeshafika huko....
Wee aunt mbna sasa sijaona hiyo picha? Hebu irudie bhana.Thanks
Na wewe selfika mlongoWee aunt mbna sasa sijaona hiyo picha? Hebu irudie bhana.
Aunt umepatwa na nn? Nishirikishe puliiiiiizzzzzz. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]– NAOGOPA
Ye ye
Mmmh aaah aahhh
abbahaaa
Kwetu si tunasherehe, ya mapenzi
Sio makasiriko ahaaaa
Kwetu ni fuhara tele, maana mapenzi
Sio makasiriko mmmmhh
Hata kama tukishindia tembele, ooh my love
Baba mwenye nyumba kodi apige kelele, ooh my love
Hata kama tunapanda dala dala nawe my love
Et chetu chumba kina mavyombo tele inahusu
Wala sidhani kama hunipendi
Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh
Mwenzako najua kamaa unanipenda umeniweka moyoni
Ila nawaza usipokuwep ntaishije ndo ninaogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Aah aah aaaahh naogopa
Good night [emoji2956]
Tulale na nyimbo tam tam View attachment 2241442
Cna picha hapa, wee ndo uselifke.Na wewe selfika mlongo
Mida mizuri hii