cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,050
Heaven Sent mama malezi post vidole bas. [emoji6][emoji6][emoji6]
Mmh sidhaniHapana mama mchungaji vya Saint Anne vile siviwezi mimi napiga vyombo haswaaa
Sijapita kitambo pande zile
Haya, ngoja nitafute kanafasiItabidi upite madam utupe update tumemiss selfie za kule mahali, hata mkuu Shimba Ya Buyenze atakua amezimiss
Vidole vya dhahabu😍😍
Piga vyombo nkamu 🤣🤣Vidole vya dhahabu😍😍
Piga vyombo nkamu 🤣🤣
Tanteeeeeeeh mama maleziiiiiiih, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Haya ukalale sasa, usiwaze mizagamuo 🤣🤣🤣🤣Tanteeeeeeeh mama maleziiiiiiih, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Weraaah vidole vizuri mnooo.
Vidole vina dimpoz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa enyewe cna usingizi, si bora hata ningekua na wa kunizagamua, sasa na huu ujuaji nabakia kukumbatia mdoll wangu tyuuh.Haya ukalale sasa, usiwaze mizagamuo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushakuja sasa🤣🤣Vidole vina dimpoz
Uache ujuaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapa enyewe cna usingizi, si bora hata ningekua na wa kunizagamua, sasa na huu ujuaji nabakia kukumbatia mdoll wangu tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapoa huyo ana haha kutaka kujinasua, watu tuna mshauri ampate mtaalamu kweli, vingnevyo ataliwa pesa buree, wengine wana mshauri labda arud tena kwa baba wa mjengoni, woiiiiiiih.Anaendeleaje mbebewa nyota?
Daah maskini. Kweli anatia huruma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapoa huyo ana haha kutaka kujinasua, watu tuna mshauri ampate mtaalamu kweli, vingnevyo ataliwa pesa buree, wengine wana mshauri labda arud tena kwa baba wa mjengoni, woiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] wanatakaga pesa za haraka na maisha ya show off slay Queens, wanakutana na watu walio vurugwa, wanawapigia pesa.
Tafiti zinaonyesha kuna correlation kati ya mwanamke mwenye butts kubwa na IQ ya mtoto, hizo ni tafiti toka chuo cha Oxford.Inavyosemekana anayeamua akili za watoto ni mama na siyo baba. Sasa siku hizi tumekazana kuoa kwa kuzingatia misambwanda bila kuzingatia vigezo vingine. Tukija kupata watoto vilaza tusilalamike [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2241428
😅😅 Hii ni kweli pia nilisikia, na nina hisi hata makuzi mtoto asilimia kubwa yupo na mama, sema siku hizi wanakaa na wasaidizi wa majukumu ya nyumbani kipengele hapo unaweza kuta mtoto ana tabia za wapi sijui ... ingawa hii sio 100%.. Kuna wengine ukiangalia flow za akili unaona kabisa ni generation ya babaInavyosemekana anayeamua akili za watoto ni mama na siyo baba. Sasa siku hizi tumekazana kuoa kwa kuzingatia misambwanda bila kuzingatia vigezo vingine. Tukija kupata watoto vilaza tusilalamike [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 2241428