Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umenikumbusha kitu nimecheka sana. Nimetunza reports zangu za shule za tangu primary; siku hiyo nikawaita wadogo zangu; nikawaambia mnaona reports zangu eeh. Kesho watoto wenu wakiwa vilaza sitegemei matusi ya "akili kama za shangazi yako sijui mama ako mkubwa, nitawaonesha wakatafute waliporithi hizo akili zao". [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kazi iendelee...
20220527_223329.jpg
 
Back
Top Bottom