Wapi huko mliko niita mbna sijaona hata, mmh hebu niambie.Afu si tumekuita na goroko 77 kule wewe mtoto mzuri
Kwenye uzi wake kadai kakutana na wewe kwenye daladala uko pisi kweli kweli; mrejesho atautoa kwenye uzi wa kimasiharaWapi huko mliko niita mbna sijaona hata, mmh hebu niambie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi upi huko mbna sijauona, kaweka jukwaa lipi nikaanze kusoma mie lol.Kwenye uzi wake kadai kakutana na wewe kwenye daladala uko pisi kweli kweli; mrejesho atautoa kwenye uzi wa kimasihara
💕💕💕9c 9t.
Zzzzzzzzzzzzzzzzz!!! View attachment 2241528
hoja mchanganyiko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi upi huko mbna sijauona, kaweka jukwaa lipi nikaanze kusoma mie lol.
Kheeeeeeeh wee.[emoji177][emoji177][emoji177]
Tauloooooo
Ngoja niende chap kwa haraka. [emoji16][emoji6][emoji6][emoji6]hoja mchanganyiko
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️Nyie watu mtume picha zenu, leo weekend, au ndo mnatombana huko, [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Nini sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Kavu sana mizagamuo ilikua inatoshaNini sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi kuona picha yako hata moja. Yaani nimekuja full fosi na uzee huu kidogo nifyatue nyonga kumbe ni limwimbo...Oh God I need Your peace, I need Your peace
I still believe with hardship comes ease
Make this stress go away, go away....
All my life I know You've been guiding me
You're the One, the One who knows my destiny
I'll be alright, I'm sure that You'll look after me
You know what's inside of me..View attachment 2241553
Kwa aibu ipi sasa? Nimeongea kiswahili fasaha.Kavu sana mizagamuo ilikua inatosha
Aibu nimeona mimi [emoji85]
Ahsante babu na wewe pia ukawe na siku njema. 🙏Sijawahi kuona picha yako hata moja. Yaani nimekuja full fosi na uzee huu kidogo nifyatue nyonga kumbe ni limwimbo...
Haya bana. I hope everything is alright. Ulale salama![]()
Ooh kumbeya jina lakooooo
Huku kwetu kuna wagonjwa wengi sana wa akili; unfortunately magonjwa ya akili hayajapewa kipaumbele kihivyo. Ni hatari mnoD
Hiyo ni depression, inachukuliwa poa tu mpaka siku mtu anapiga tukio la ajabu tunashangaaa kumbe mgonjwa wa akili.
Vyombo kama vile vya Saint Anne ?Napafahamu mkuu
Huwa napeleka vindama nyangu hapo kuuza na hadi sasa nipo mitaa hii chief napiga vyombo
Sijapita kitambo pande zileMzee mitaa yangu ya kujidai hii
T 1990 ELY atakuja kukupa ushuhuda
Nguzo camp huko ni kwa mama mchungaji Heaven Sent
Hapana mama mchungaji vya Saint Anne vile siviwezi mimi napiga vyombo haswaaaVyombo kama vile vya Saint Anne ?