Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa mashambulizi kutoka pande zotee😅😅 alafu kipindi nipo shule nilikuwa midfielder mmoja matataa au basi nilikuwa napendaga ma organic sema nimechoka sasa hivi ningekuwa sijachoka ningeenda kufanya Bsc ya chemistry 🧪 wengine kusoma kumo kwenye damu
lol ulikua vizuri kumbe!
 
Ila Physics nilikuwa vizuri zaidi, Physics sikuwa kuwa kilaza popote nilipokuwa napita Physics walikuwa wanakuja nyuma yangu mie mbelee hapo 😅😅😅 kuja juu huku Mechanics Physics ndio nikawa baraaaaa la kuotea mbali yaani 😅😅😅 kusoma raha sanaa
Tuoneshe mitihani yako sio unatulisha matango😬😬
 
Ila Physics nilikuwa vizuri zaidi, Physics sikuwa kuwa kilaza popote nilipokuwa napita Physics walikuwa wanakuja nyuma yangu mie mbelee hapo [emoji28][emoji28][emoji28] kuja juu huku Mechanics Physics ndio nikawa baraaaaa la kuotea mbali yaani [emoji28][emoji28][emoji28] kusoma raha sanaa
Uko vizure mjomba [emoji122][emoji122][emoji122]!!
 
Back
Top Bottom