Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Mbali huko sanaNimesubiri sana
Nimeanza mdogo mdogo
Napita kiba mida hii
Mbali huko sanaNimesubiri sana
Nimeanza mdogo mdogo
Napita kiba mida hii
Subiri na wewe zamu yakoo utaju hujui maana uliniacha kwa masimangoo sanaa nakuweka nuclear kabisaa 😅😅
😘😘😘 Big boy yupoUsikae mbali na wasapu status zangu😅
Unanilipua na kiumbe chako kilicho tumboni au unasubiri kizaliwe😬Subiri na wewe zamu yakoo utaju hujui maana uliniacha kwa masimangoo sanaa nakuweka nuclear kabisaa 😅😅
Nasubiri kitoke kwanzaa ila nisubiri hadi kifike secondary ndio nikulipue 😅😅😅Unanilipua na kiumbe chako kilicho tumboni au unasubiri kizaliwe😬
Una ngozi laini tena ya kung'aa
Hivi hii nyimbo ipo kwenye A.k.A Mimi?
Unasura nzuri na tabia ya kuvutia unaweza kuishi popote katika hii dunia ....Una ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwenda😍🔥🔥🔥
Siwezi kuita hi limbwataa nakataa 😅😅😅Una ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwenda😍🔥🔥🔥
Una ngozi laini tena ya kung'aa
Una niua zaidi na hilo bambataa
Una sifa zote ambazo me nazipenda
Nataka tuwe wote kila sehemu nayokwenda😍🔥🔥🔥
Kwako nishafika na nafsi yangu ishakita🔥🔥Unasura nzuri na tabia ya kuvutia unaweza kuishi popote katika hii dunia ....
Harufu yako ya marashi 😅😅😅
Naona uko na Power bank😂View attachment 2241189
Muambie Big boy narudi Dar 😅😅😅
Ngoma za zamani zilikua kali sana aiseeIpo kwa Pro JizeView attachment 2241187
Una tabasamu pana la huba , na sauti nyororo kweli kwako nakili umenifunga minyololo 😁😁😁Kwako nishafika na nafsi yangu ishakita🔥🔥
😅😅😅😅 muhimuu hivi narudi huko kwa kina Big boyNaona uko na Power bank😂
Ndio tunaanza kutokaUpo mbele
Ama nilikotoka![]()
Najiona niko ndotoni, nadeka kama utotoniUna tabasamu pana la huba , na sauti nyororo kweli kwako nakili umenifunga minyololo 😁😁😁