Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tuoneshe mitihani yako sio unatulisha matango😬😬
Umenikumbusha kitu nimecheka sana. Nimetunza reports zangu za shule za tangu primary; siku hiyo nikawaita wadogo zangu; nikawaambia mnaona reports zangu eeh. Kesho watoto wenu wakiwa vilaza sitegemei matusi ya "akili kama za shangazi yako sijui mama ako mkubwa, nitawaonesha wakatafute waliporithi hizo akili zao". 🤣🤣🤣
 
Unatunza kumbukumbu mimi hata sijui ziko upande gani ila kichwani zilikuwemo 😅😅😅
 
Mzee wa mchongo[emoji1787]

Unatakiwa ustaafu

Sio mnang'ang'ania maofisini

La mwisho si kwa umuhimu

Bado unapiga kavu[emoji2089]

Sababu za kupima ni nini[emoji848]
Uzee Dawa, Hata hivyo nimebakiza miaka 3 tu nifike 70 nistaafu nikacheze na wajukuu 🤪🤪🤪

Babu anapima Ili kuwashawishi Wajukuu pia kupima na kujua afya zao
 
Back
Top Bottom