Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unachokitafuta utakipata babu
Jamani mbona mnamtisha Babu yenu, hii inaonesha Vile wajukuu zangu hamko makini na vijana wenzenu 🤪🤪

Sasa nimeandaa utaratibu, likizo mtakapokuja Kijijini kunisalimia mtamkuta Daktari kwaajili ya kuwacheki afya. Asiyetaka sitamchinjia Kuku niliyowahaidi 🤪🤪🤪
 
Huko nje unatafuta nini?
Badala ya kutulia tu na bibi.
 
Nuzulati hayaa nijibia hayoo ukitoboa tuuu unapewa kituuu 😅😅🤔 au nakudhalilishaaaa
F95D0718-8C6F-4543-A87E-68F1031A28A0.png
 
Kipindi hicho hata dalili ya kuja kwenye Dunia huna😬😬
😬😬😬😬😬 kaone hata kiswahili ulikuwa una chemechemea tuuu hesabu nakuoneaaa, bila Ashura kukaa mbele yako usingepata hata hiyo F a.k.a Fubu
 
Taki mie offa zako… I love chelsea na Real Madrid.

Na hapa nimetupia mzula wa blue 🔥
Umekosa ofa Nono ya Babu yako

Hapa nilipanga nikusanye Pension yangu Mechi ya Ufunguzi ya Arsenal nikupeleke ukamwone Ben Whites live 🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom