Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
yeh joooo 😅😅Sana kamanda wangu😅
yeh joooo 😅😅Sana kamanda wangu😅
Hatari sana Shangazi 😅😅Bonge moja la dude[emoji2][emoji2]
Salama kabisaa Shangazii [emoji16][emoji16][emoji16]..
Pole na majukumu
December wana Jf huwa wana road trip wanaenda kula maisha sehemu mbali mbali join nao Shangazi 😁😁Nakuonea wivu nimemiss road trip...
AfadhaliNaanzaje
Ulivyo mkorofi hivyo
Tupo kutema nyongo kwenye Uzi wa Max.Tena wafanye haraka wanapoteza castamaziii
Shangazi huyu kijanaa una mkumbuka 😅😅Asante
Pole na wewe pia...
Uso wa nyongeza mweupe !!!Nan cheupe nawee, mie mweusi tiiii km mkaa wa nyongeza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko vyedi sana. [emoji6][emoji6][emoji6]Asante aunt nimejitahidi kumbe
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] maadam jamanUso wa nyongeza mweupe !!!
Barabara hiyo hiyoTayari nimetembea 300km nakula ngoma tu za Enrique peke yake nikifiksha 400km naanza Eminem hadi nitapo weka kituo cha kudumu
Wewe ni mshombe shombe[emoji848][emoji1][emoji1]au ndo maana kaandika barua Yuko deep Sana [emoji1751]
Satoh Hirosh et ya kweli haya
Umetiririka hatariTupo kutema nyongo kwenye Uzi wa Max.
Katoe maoni yako kule kuhusu muonekano wa jf.
😅😅😅😅 una pa kuipeleka hiyo redbullBarabara hiyo hiyo
Ukifikisha km 405
Utaniona
Uje na redbull moja tu
Lactose[emoji1787]
😅😅😅 safari ya wapi hiyo..Lactose[emoji1787]
Haipiti kwa koo
Kiporo cha wali maharage hamna sasa 🥴🥴Ni chai na matikiti upo nchi gani da Lizzy
Sisi huku tunakula kiporo Cha wali maharage[emoji85]
Usitoke hapo natumaNipo hapa✋😃