cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,943
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] hostel nilishakataa kukanyaga, afu sahivi mie mkubwa bhana, nna mambo yangu pia staki kuwakwaza wengine, huenda mie ndo ningewapiga wao ExileKwenda kwanza hostel ukapigwe kwanza exile mbili tatu zikufundishe kuvumilia kero za dunia[emoji1787]
Woiiiiioh