Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Usijali mamy japo kwenye nywele mfumuaji kanikomesha alikuwa anakata uz na kiwembe kanipunguza za usoni[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wee.
Mimi nasubiri like darsa la lipstick
Usijali mamy japo kwenye nywele mfumuaji kanikomesha alikuwa anakata uz na kiwembe kanipunguza za usoni[emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wee.
Mimi nasubiri like darsa la lipstick
Ndo nn kunikimbia jana usiku? [emoji57][emoji57][emoji57]Usiwaze shos badae kidogo
Wee mie usiku kuanzia saa 3 na nusu ndo nakuwepoNilikuita sana shos usiwaze kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Good morning [emoji112]!!
View attachment 2238909
Mnooooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ashura nuksiiiiiiii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kijana awe na hela,halafu ameokoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha kabisa.
Ni ndoto za Mabinti walokole kupata watu wa namna hiyo.
hahahaha.kumbe.ndo maana kn kanisa moja naendaga.ok umenifunza kituKijana awe na hela,halafu ameokoka😂😂😂😂😂😂😂acha kabisa.
Ni ndoto za Mabinti walokole kupata watu wa namna hiyo.
Wee unanihujumu wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na stand jaman, mnaongozan wote had ndan ya bus anapokaa msafiri, mnapunga mikono gari ikiwa inaondoka.Na kwenye mashughuli tuna ma-vibe kupitiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] hebu nioneee.Sijawahi kujua km Nina lips nzuri aunt unanipa kakofidence kakuvimba kidogo woii[emoji17]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hela za hivi nazipenda[emoji23]
Kuna namna najiona nina Hela nyingiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]Kuna namna jicho la upako linashuka juu ya kijana[emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mbavu cna khaaaah.Hapo hakuna cha kusema "subiri kwanza niombe nimsikie RM atasemaje juu yako". Unajiambia tu "Bwana amenionyesha kuwa huyu ndiye"
Muhuburi anasema"Na pesa ni jawabu la mambo yote"hahahaha.kumbe.ndo maana kn kanisa moja naendaga.ok umenifunza kitu
Wacha wee. [emoji6][emoji6][emoji6]Hapa najiona millionea nani sijui[emoji23]
Kumbe ni vielfu mbili mbili tu
hahahahahaMuhuburi anasema"Na pesa ni jawabu la mambo yote"
Hakuna mtu hapendi pesa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ni vibukubuku hivyo.Wacha wee. [emoji6][emoji6][emoji6]
Sasa ndio ukute kijana ameokoka.hahahahaha
hahahaha.na km hajaokoka na yuko package inakuaje? Hahahaha wadada banaSasa ndio ukute kijana ameokoka.
Wapo wachache sana hao[emoji2]