Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Nilikuita sana shos usiwaze kabisaUna tabia mbaya siku hizi, ila fresh tyuuh.![]()
Nilikuita sana shos usiwaze kabisaUna tabia mbaya siku hizi, ila fresh tyuuh.![]()
Ashura nuksiiiiiiii!!ila watu khaaah
Woooi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Good morning 👋!!
View attachment 2238909
hahahahaha.dah.aisee.pesa si mchezoGood morning 👋!!
View attachment 2238909
Kijana awe na hela,halafu ameokoka😂😂😂😂😂😂😂acha kabisa.hahahahaha.dah.aisee.pesa si mchezo
Nimesoma hii post nikajisikia ovyo sana, nilikuwa na hili tatizo la tumbo, nikahisi nina cancer...yani kitu cha kwanza kichwani ilikuwa ni cancer coz aina ya maumivu nikiyokuwa nahisi, ilikuwa sio kawaida..nikapimwa sana..nikaambiwa nipitishiwe kidude fulani kupitia mlango wa nyuma ili waangalie labda utumbo una shida..nikakimbia coz niliona fedheha kupitishiwa kidude makalioni.We acha tu...
Mtu wa karibu sana (42yrs) hapa alikuwa anasumbuliwa na tumbo. Linauma. Linatulia. Mara anahara. Mara tumbo limejaa gesi...amekuja kwenda hospitali amekuwa diagnosed na terminal liver cancer. Yaani kansa imeshaenea kwenye ini mpaka figo na uti wa mgongo na pancreas. Madaktari hawana la kufanya. Wamemwambia akitoboa miezi mitatu ni bahati...na ndiyo tu kaanza PhD yake ya Economics na ana mtoto wa miezi mitano. Just like that maisha yamebadilika.
Uzuri ni kwamba anamfahamu Yesu na uwezo wake; na ameshasema kuwa hawezi kufa. Ijumaa hii kuna maombi maalum kwa ajili yake kanisani...
Ndo maisha yetu. Leo upo unajiona mzima kabisa na ujana wako. Kesho lo lote laweza kutokea. Hata sijui wasio na tumaini katika Yesu wanaishije katika dunia hii ya shida...
Tuombe sana Mungu Atuongoze - katika nyanja zote za safari yetu katika kasayari haka kazuri![]()
Mkuu uliogopa barium enema mbona ni kawaida ungechukua kipimo ujue shida ni nin sabab hapo walikua wanakupima lower GI na kama ni ulcers mara nyingi ni Upper GINimesoma hii post nikajisikia ovyo sana, nilikuwa na hili tatizo la tumbo, nikahisi nina cancer...yani kitu cha kwanza kichwani ilikuwa ni cancer coz aina ya maumivu nikiyokuwa nahisi, ilikuwa sio kawaida..nikapimwa sana..nikaambiwa nipitishiwe kidude fulani kupitia mlango wa nyuma ili waangalie labda utumbo una shida..nikakimbia coz niliona fedheha kupitishiwa kidude makalioni.
Siku moja namueleza mtu akaniambia nijarubu kwanza kutokula maharage halafu tuone. Since then, sijasikia tumbo likiuma..sasa huo woga wa kuhisi nina cancer kumbe huenda ni ulcers, na hata sijajua ni ulcers kweli au kitu gani.
Hakika kufa tutakufa!!
Imeniuma mtu 42yrs ana watoto wadogo anawaachaje, naamini Mungu atatenda..sad sana!
Uliniombeaaaaa???Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
Bye mama pastaaaa jiraniii mda ndio huu wa kuchili na mshua 😍😍
Nimepita aunt junia. Them 👄👄👄
Mbengo lazima ziwafongokie hapoKijana awe na hela,halafu ameokoka😂😂😂😂😂😂😂acha kabisa.
Ni ndoto za Mabinti walokole kupata watu wa namna hiyo.
No name on earth can describe Who You are
From eternity past You remain the same forever
In heaven and earth none compares with You
I Am that I Am, I Am that I Am
I Am that I Am, I Am that I Am
I Am that I Am, I Am that I Am
You're the Lion and the Lamb
You are the fire and the water
You are the past and the future
I Am that I Am, I Am that I Am
You are the God of the mountain
You are the God in the valley
The earth is Your footstool
And Yet You live in it
I Am that I Am
😊😊View attachment 2238804
Na kwenye mashughuli tuna ma-vibe kupitilizahasa msibani jaman mnajua kulia, kheeeeh mnalia nyie afu kwa hisia lazima mwingne aunge tela.
Asubuhi imeanza vyoma kabisa😍
Asante na wewAsubuhi imeanza vyoma kabisa
Ahsante aunt
Naomba bukuElfumbilionea 😁View attachment 2238981
Sijawahi kujua km Nina lips nzuri aunt unanipa kakofidence kakuvimba kidogo woiiNimepita aunt junia. Them![]()
