Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa kweli kwa hizi sifa anazokupa nipo njia panda.
😅😅😅 nitakupa direction mkuu, usitoke hapo njia pandaaa.. akikutazama tuu ndio 🔥🔥🔥🔥 unaweza baki baaa baaa sentensi isikamilike nae alivyo mjeshi unajuwa midomo inavyo zibwa kwa kidole kilisho saafi kimenyooka sio kama panga la fan 😅😅
 
Hebu nambie mkuu huu ni utani wetu wa kila siku ama?
 
Post M-alone na hizi ndio mitahali za Selemani 😅😅😅

29 Kuna watatu wenye mwendo wa kupendeza, Naam, wanne walio na mwendo mzuri.

30 Simba aliye hodari kupita wanyama wote; Wala hajiepushi na aliye yote;

31 Jimbi aendaye tambo; na beberu; Na mfalme ambaye haasiki.

32 Ikiwa umefanya kipumbavu kwa kujikuza; Au ikiwa umewaza mabaya; Basi weka mkono wako juu ya kinywa chako.

33 Kwa maana kupiga maziwa huleta siagi; Na kupiga pua hutokeza damu; kadhalika
 
Back
Top Bottom