Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tutaomba na kufunga kwa ajili yako. Imagine binti analeta kamchumba pale hakajaokoka; Ile amefika tu anagonga "nitatoa mifuko 100 ya cements kwa awali". Weeeee

Kwenye tamthilia ya Jua Kali; mchumba Frank kafika tu kaahidi kuwanunulia vyombo vya music. Mchungaji kachanganyikiwa

Sawa ntakusubiri
maria hoyeeee. Mwana kondooo
 
Hahha Kwanza nasikia vijana waliokoka sio watamu(msije na povu nimeskia tu
Nyie mnawaongelea walokole wa enzi zetu za kuvaa suruali na mashati ya satini. Sio hawa wa sasa hivi; wengi wamechachuka. Na mkisikia walokole mnahisi ni "watakatifu waishio duniani". Nyie kuna watu Wana matukio, mpagani akasome. But still kukimbilia kanisani, despite mapungufu yako ni salama sana.
 
Kwamba ukiwa na Yesu ndiyo huwi mtundu?? Usisahau wengi tunakimbilia makanisani baada ya yaulimwengu kutushinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaha.umenichekesha hy sentensi ya mwisho.imebeba ukweli

Kwani yesu alikua mtundu ktk mambo yale.najuaga walokole hawakulani ki vile.na mechi zao hazina ufundi wala ushindani
 
Yohana 21:18
[18]Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka.
 
IMG-20220526-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom