Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Pole sana mkuu.Lilikwanguaga tu karibu na kichwa😂
Ni miaka 10 sasa umepita,,ila hili eneo nikishika ama nikijigonga linasisimka.
Kurudi kama mwanzo ni mtihani sana.
Namuombea huyo dada Mungu amponye.
Japo ndio hivyo hana kipande cha mkono 🥺..hata kingebaki bado hakiwezi kuwa na nguvu kama mwanzo..hapa narefer kwenye kajimkono kangu linivunjikaga miaka 15 iliyopita.
Hayo niliyapita.
Linalonitesa sasa ni kumbukumbu tu za msiba.
...........
Kwanza usinitoe kwenye reli..
Naomba ile picha