Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,361
- 176,181
Ndo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162



eti umekuwa nyoka, mwenza una majibu!!Nigawie basi jamani



Ndo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162



eti umekuwa nyoka, mwenza una majibu!!


Kwani kuna mzazi ambae husema mwanae mbaya?Unaona sasa
Hata leo ilikuwa kweli ujue!
Metoka Arusha, nikashuka hugos hapo saivi nishaleft niko Oriental
Ongea vizuri na mimi kaka ufunguliwe pm uko nakuonea huruma unavyopata shida



hivi mbona watu wengi huwa wananiambia mimi siyo kibonge ni wa kawaida wakati mimi najiona kibonge??Hivi unawajua vibonge wewe![]()
Anataka zikianza kuzaa awe anajinywea tu nyumbani...
Hahahahaa
Natamani mi ndo ningekuwa hilo tango
🤣🤣Mtafutaji na mtumiaji kwenye picha ya pamojaView attachment 1252486
Kwahiyo kama umelikuta jf ndio ukazie
Mpe hongera bby wangu. Mwambie nimemkubalia ombi lake. Ila asiniogope![]()
Utashindwaa vaa suruali shaur yako tumbo litajitokeza
Ila una bonge moja LA shepu we mzigua



naona anakufurughaa
Hapo sasa shem ndio unanivuruga mambo ya comment no ngapi tena we panda tu juu uko shem wangu utakutana nayo
Mangi ni rafiki yangu bana, alikuwa ananikorofisha siingilii JF siku tatu! Sasa naona upepo wa kisulisuli umemfanya akuwe mwema auntie!!