Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Mmh Mobutu [emoji134][emoji134][emoji134]Size ya mikono,miguu,mgongo
So ni rahisi kukujua[emoji23]
Siku nikiiona na face,hata nikitangulia mbele za haki nitaenda kwa amani
Mmh Mobutu [emoji134][emoji134][emoji134]Size ya mikono,miguu,mgongo
So ni rahisi kukujua[emoji23]
Siku nikiiona na face,hata nikitangulia mbele za haki nitaenda kwa amani
Hahaha ndioMmh Mobutu [emoji134][emoji134][emoji134]
Hahaha ndio maana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nabadilika kulingana na mazingira na matukio.. Kwa mfano kama nikiweka ya sasa hivi muda huu.... Warembo wote humu hawatajibu hata PM zangu
Redstone Kuna supu kumbe,ni ya kongoro auNiko nakula supu hapa Redstone..
Napita hapo chap
Usiweke,shunie wangu asijekushindwa kulala,maana mshana hukosi li hirizi kubwa kiunoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio nzuli niko sina nguo[emoji23]
Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri[emoji23][emoji23][emoji23]hazifanani kabisa
Nina hasira kwakweli mtu akinikorofishaHahaha ndio
Mpaka tabia,nimegundua una hasira sna
Eeeenh huna nguo tena usiweke nitaota[emoji23][emoji23][emoji23]Sio nzuli niko sina nguo[emoji23]
Hahhaha sawa bwanaHata mimi pia[emoji23]
[emoji23]ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisaHahhahah kwani ile picha ni yeye kweli
Hahaha[emoji23],Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheniNina hasira kwakweli mtu akinikorofisha
Hahahha itakuwa sio yeye bwana[emoji23]ni mwenyewe kabisaa, ule mguu wa kikongo kabisa
Hahhaha Mobutu bwanaHahaha[emoji23],Mtu anaekuudhi wewe atakua ana frasturesheni
Kama kawaida umeficha virungu vya ngoma 😍😍😍Kheeee mkuu hebu angalia tena vizuri aiseeMimi ni kibonge mbona au angalia kwenye picha nyingine hizi hapaView attachment 1252268View attachment 1252269
Mbona kama kanandy.Tupate tangazo la wadhamini kidogo [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732] View attachment 1252454