


Kapatikana kidume kama chako
Ndo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162
Dada uyooo
Hata sijui ndio wapi hapa tulipofika. Naona itakuwa Chamwino.Yani hilo cheko linaonesha wazi kabisa umeafiki nilichokisema..
Niko ubungo hapa nakusubiri umefika wapi saa hizi??
Sawa dearMzigua anajua![]()
Endeleeni kubaguanaPoa kule kule?
Barcelona amenichania mkeka dadekii yani pombe hazipand kabisa
Msisahau video call niwazoom
Utashindwaa vaa suruali shaur yako tumbo litajitokezaNdo utaratibu wetu wanawake wa Dar. Niwe na tumbo flat mi nyoka?View attachment 1252162
Ushafika mjini?!Hata sijui ndio wapi hapa tulipofika. Naona itakuwa Chamwino.
Yes dear.Ushafika mjini?!
aiii jamani we dada mbona ghafla ivyo sasa
Hebu ukuje hapa HUGOS

nipo maeneo ya Kuringe apa nna kamishe nafanyaMsisahau video call niwazoom
Utashindwaa vaa suruali shaur yako tumbo litajitokeza
Ila una bonge moja LA shepu we mzigua