Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485

uwii nimesahau eti tulikuwa tunaongelea nini tena jamani??
Kukwambiaje tena jamani![]()

uwii nimesahau eti tulikuwa tunaongelea nini tena jamani??
Kukwambiaje tena jamani![]()
Jamani we kaka hizo ndo six pack![]()
Heeeee haya





Ongea vizuri na mimi kaka ufunguliwe pm uko nakuonea huruma unavyopata shida
Ndio unaamka?
Hao wadogo zangu bwana



mie nimemuuliza tu hiyo picha wameitoa wapi yeye na mwenzie??
Mkuu mtu chake. Yeye ameweka moja kapaukaaaa miguu sijui anafanya kazi mashineni,ila yupo na mtoto mzuri



kumbe wewe ni mwembamba??



hivyo havitakiwi kuonekana kabisa
Kama kawaida umeficha virungu vya ngoma![]()
Kaka anafaidiiiii
nimeambiwa umeshafuta shemHapo sasa shem ndio unanivuruga mambo ya comment no ngapi tena we panda tu juu uko shem wangu utakutana nayo
Mbona kama miguu mpaka vidole mtu na babaake?Mtafutaji na mtumiaji kwenye picha ya pamojaView attachment 1252486
Si ugeuke tu jamani?. Nini mambo ya kufichana fichana sebuleni?