Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mjomba bado nipo na wewe naendelea kukukera mpaka jambo lifanyike[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Shangazi unanitesa shangaziiii...

Basi subiri ntakushtua. Niko madukani huku nikifika tu home nitakutag kabla sijajiripua...laivu kabisa bila chenga...uone mzee wa miaka 76 nilivyochakaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Haya ndio maneno sasaaa 🔥🔥🔥 Maana na wewe ni motoo hatari na anajua sana ku care utanogaaa ile mbaya zaidi nitakua nakuita Mrs Pilot Boeing 777 Post M-alone 😅😅😅
Mkuu umemaliza kazi niliyokuagiza, yaliyobaki niachie mimi, we endelea na majukumu mengine.. thanks a lot.
 
Kwani hata nimeelewa[emoji848]

Kama tusi

Bhas asante
Maandishi hujaelewa elewa pichaa
2A696338-3475-4E06-AE87-587FF0604767.jpeg
 
Back
Top Bottom