Night night rafiki.Nikapumzishe fuvu langu wapendwa Kesho nayo ni siku!!


Ila weweeMawili
Okoka ile kikwelii
La pili usiwe na mke wala gerofurend
Mwisho sio kwa umuhimu
Uwe na kwako hata kama umepanga
Iwe nyumba sio stoo
Loji huyo haiingii
Oh ndiye yule mwamba wa "oooh fuckk,,shit"Saint Anne unamkumbuka yule jamaa wa emergency landing![]()
we are Friends 'till the end.
View attachment 2236065




Hahaha hapana kwa kweli ishukuriwe Camera tuuAlyana = Alicia keys ni 🔥🔥🔥🔥
Namuona huyo hapo subiri nondo zije kushushwaa hapa 😅😅😅Sasa yuko wapi?![]()
Roho mtakavituTrusted source awe Wige??
Mkuu hiyo picha yangu kabisa.

Hakana jeuri ya kunywaMama mchungajiiii Heaven Sent
Njooooo uoneee
awwwewwwww kwanza ume mzidi we bado kabichi bichi yule mzee tayariHahaha hapana kwa kweli ishukuriwe Camera tuu
Unajua siamini kama kweli unakunywa
Kama umerudisha chenji sababu ya harufu
Hayo si mambo yako![]()

AfadhaliHakana jeuri ya kunywa
Sawa nikipunguza nakutag.Oh ndiye yule mwamba wa "oooh fuckk,,shit"
Naomba upunguze emoj tafadhali sana,Kwa ajili yangu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
UsiniambieSikuweza kunywa
Nilipewa zawadi..nikaishia kugawa kwa mgeni.
Aliigonga nje ndani..katika harakati za kutaka kujaribu..aisee nilikutana na harufu mbaaaya .



Mie mwenyewe mbna ushangingi nauweza, alidhan atawin. Mpira unabadilika dkk 0.Naamini hivi pia
Ukiwa shabiki wa team fulani usimfanye mwenzio ajisikie vibaya alishindwa
Unapunguza lini??Sawa nikipunguza nakutag.
Kichaa wewe😂Usiniambie
Nje ndani ujue ina mzuka
Kwani ulijuaje![]()
Nirushie voda ya buku tano, nikutumie PM picha yake.. yaaani ni noumaaa kama malaika wa mbinguni za sabaaa kwa namna alivyo nogaaa yupo kwenye ndiga kalii kinoma yani Merecede Benz G wagon ulishawahi hata igusa hiyo gari





makubwa haya tena, khaaaah.Umeanza zako, hapo unataka tu nipunguze emoji, haya napunguza.Unapunguza lini??
Nipo nasubiri hapa.
Mmependeza sana nyie magentlemen
Taarifa uzitoe wapi wewe tulia😂Roho mtakavitu
Akutoke
Nina nini nisiwe taarifa ya uhakika
Kaa kwa kutulia![]()