Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
😀😀😀😀 kuhusu hilo ondoa shakaaa hakunaga jambo dogoMkuu nilikuwa nakupa starter tu ili utitirike vyema, kusaidiana muhimu, endelea nae, hapo hapo endelea.. usiniangushe
😀😀😀😀 kuhusu hilo ondoa shakaaa hakunaga jambo dogoMkuu nilikuwa nakupa starter tu ili utitirike vyema, kusaidiana muhimu, endelea nae, hapo hapo endelea.. usiniangushe
Ngoja niiforward🏃🏾♀️
Hallelujah!!!!!!!!
😏😏😏😏🤐🤐🤐🤐😀😀😀😀 kuhusu hilo ondoa shakaaa hakunaga jambo dogo
kha! na lile jicho na ukamla na hujanibakishia hata mkia khaNa bado nikamla bila huruma 😆😆
Alicia ni mrembo mpaka kapitiliza simkutii hata nuktahuyu na wewe kama pachaa tena ume mfunika View attachment 2236092
Upo

Nimependa muonekano wake lakin hayo mengine ubaki nayoSema bwanaaa, jamaa yupo very smartmnaendana kabisaa mtapendezana na Kama Romeo na Julieth

Wewe ni mzuri bwanaa, tunamshukuru Mungu kwa uzuri wakoAlicia ni mrembo mpaka kapitiliza simkutii hata nukta
Aisee sipati notification ni mtihaniSikuizi nimekua mvivu mkuu,
Naona ni huu utu uzima.
Hujambo lakini?
Kwisha habari yakoOh ndiye yule mwamba wa "oooh fuckk,,shit"
Naomba upunguze emoj tafadhali sana,Kwa ajili yangu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Shangazi mwingine nipo hapa list inazidi kuwa ndefu 😀😀Hebu tulia kwanza dogo
Huo ukubwa uko wapi?
Mama na wewe unateseka na App kama mimi, ni mtihani.Aisee sipati notification ni mtihani
m gud
Huwa unasubiri nitoke ndo uweke eeeeh? Bas fresh haina kweree.
Ahsante sanaa 🙏Wewe ni mzuri bwanaa, tunamshukuru Mungu kwa uzuri wako
Ndio mkuu.Wewe ndio huyo mwene pensi??
Kwakweli nateseka dearMama na wewe unateseka na App kama mimi, ni mtihani.
Mzima kabisa Wige
Haya ndio maneno sasaaa 🔥🔥🔥 Maana na wewe ni motoo hatari na anajua sana ku care utanogaaa ile mbaya zaidi nitakua nakuita Mrs Pilot Boeing 777 Post M-alone 😅😅😅Nimependa muonekano wake lakin hayo mengine ubaki nayo![]()