Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Thanks a lot mtoto mzuri, sijawahi kukuona lakini.Rafiki uko na muonekano mzuri, hongera.
Thanks a lot mtoto mzuri, sijawahi kukuona lakini.Rafiki uko na muonekano mzuri, hongera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo picha imenishtua wallah.Shosss usinichekeshe mieh
Khaaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nye nye nyeePombe yangu ile
Lazima niipende sana[emoji3059]
Wewe handsome sana mkuu,,
Shombeshombe Fulani hivi...wewe ni chotara?
Eti umesema[emoji848]Alafu sasa mimi ndio mkubwa kwake yani ishukuriwe camera hapo imesaidia kuficha uzee [emoji3]
Njoo nawewe nikupe unywe st AnnaNye nye nyee
Hovyoo[emoji21]
Shemu Mrs Pilot Boeing 777 Post M-alone usijali si unajua kitu kizuri kikiwepo na vyema kikaangukia katika mikono salamaaa 😅😅😅😅 hapo upo kwa mikono salamaa asilimia 💯Kweli wewe ni chawa [emoji23] nimeamini.
Uchochezi huu[emoji1787][emoji2089][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shosss namimi nikastuka Hadi nikahisi Selfika tumepelekwa nchi za arabuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo picha imenishtua wallah.
Jaribu tena[emoji848]Umefuraaahi[emoji2]
Na bado naenda kununua nijaribu tena
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23] mwshoe tutalipuliwa humu. OooohShosss namimi nikastuka Hadi nikahisi Selfika tumepelekwa nchi za arabuni
Siishi huku mkuu, lakini nipo New Jersey.USA Baby...
Uko jimbo gani captain?
Shangazi unanitesa shangaziiii...
Basi subiri ntakushtua. Niko madukani huku nikifika tu home nitakutag kabla sijajiripua...laivu kabisa bila chenga...uone mzee wa miaka 76 nilivyochakaa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mara bomu zinaanza kushushwa kama Ukraine[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23] mwshoe tutalipuliwa humu. Ooooh
[emoji16][emoji16] yupo kama muarabu kweli.[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au mie muongo?
Onana na huyo mkurugenzi mpige bia mbili tatu🏃🏾♀️Siishi huku mkuu, lakini nipo New Jersey.
Via vimecheza[emoji848][emoji849]Wewe ndio huyo mwene pensi??
[emoji1787] aiseeShemu Mrs Pilot Boeing 777 Post M-alone usijali si unajua kitu kizuri kikiwepo na vyema kikaangukia katika mikono salamaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hapo upo kwa mikono salamaa asilimia [emoji817]
ShangaaHebu tulia kwanza dogo [emoji2][emoji2]
Huo ukubwa uko wapi?