Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Shangazi mwingine nipo hapa list inazidi kuwa ndefu [emoji3][emoji3]
Aahhh wapi??[emoji2][emoji2][emoji2]
Shangazi mwingine nipo hapa list inazidi kuwa ndefu [emoji3][emoji3]
Nyie nyieUmenisaidia kupata mstuko
Ni yeye kweli?[emoji2][emoji2]
Notifications zinakuja za 20 hrs ago. Hii app kwa kweli ni kimeo...na browser mi siiwezi basi shida tupu yaani! [emoji51][emoji51][emoji51]Mama na wewe unateseka na App kama mimi, ni mtihani.
Kupatwa kwa selfika, hadi wa Iran koko wapo humu.Only few minutes then I will strike out my pic and go to sleep
[emoji855][emoji3062][emoji3063]Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Wee baki hapa[emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214] Nikapumzishe fuvu langu wapendwa Kesho nayo ni siku!!
Mama na wewe unateseka na App kama mimi, ni mtihani.
Wapi?Ngoja niiforward
Acha kushobokaUnapunguza lini??
Nipo nasubiri hapa.
Mmependeza sana nyie magentlemen
Hapana my dia [emoji23] nipo sana.Umeamua uwe wasiojulikana[emoji2][emoji2]
WapiNgoja niiforward
[emoji8]Kichaa wewe[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Snap it.Show it[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2236084
Utajua haujuiWapi
😄😄Aahhh wapi??[emoji2][emoji2][emoji2]
Niache😂Acha kushoboka
Umeona avatar [emoji848]
Jiongeze nyau wewe
Notifications zinakuja za 20 hrs ago. Hii app kwa kweli ni kimeo...na browser mi siiwezi basi shida tupu yaani! [emoji51][emoji51][emoji51]
Mungu anakupenda. Tunakupenda.[emoji855][emoji3062][emoji3063]View attachment 2236113
Nenda😂Utajua haujui
Inazingua mno yaani, notifications hadi nizifate kwenye ile nyingine[emoji19] inaboa sana.Nilijua peke yangu aisee...