cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Hatareeeeh sanaaa, ukiona Jeep piga picha tuma humu nisuuze macho.Wewee!
Hili ni bara zima na zipo mtu 332.4 million tu. Kuna mapori kila kona. Ukiruka juu ndo unayaona vizuri...
Mikeka yao naona wanaitunza vizuri kwa sababu nyasi zinafyekwa na mandhari inawekwa vyema hasa huko mbali na mji. Ni kukanyaga wese tu japo bei kwa sasa inatisha!
View attachment 2232387







