Amen...AmenAmen….
Exodus 14:14… pata hiyo na wewe
😂😂😂 weka mbali kitu ya ukoo.. inasambaa kizazi kwa kizaziNaona tumguu twa bia karithi kwa rich aunt ake😍😂😂
Mwambie ntakatumia hela ya 🍕 badae
Mwenzio kakusubiri adi kachoka jamani😂😂😅😅😅 kamepatiwa na usingizi tayari .. hadi kaamke ndio tukapike
😀😀😀 Akiamka anakuwa kashiba ... kana njaa za alfajiri tuu ila ikifika saa tano hakunaga anae angaika na mambo ya chakula hapo ... sasa hapa nilo out na mie nilale 😀😀😀 bado hujanipa upatde ya chimbo tufanye ku buku mapemaaMwenzio kakusubiri adi kachoka jamani😂😂
Nenda kampikie ili akiamka unamlisha tu, katakua na njaa zaidi
Ah sahihiNa kweli itambidi azoee
🤣🤣🤣😂😂😂 weka mbali kitu ya ukoo.. inasambaa kizazi kwa kizazi
Weee usimpromise huyu chalii 😂 atakuganda uzime simu
🤣🤣🤣🤣Vidole vyenye pete vinapendeza sana ila viwe vimenyooka sio kama panga 😀😀😀 umependeza
Vya urithi vinazidi 🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo mama mbabe, we unafkiri mtoto atakuwaje?
Pole sana and get well soon mpendwa!
Pole, Mungu akuponye
Mimi mwenyewe nimefurahi Orlando walivyokosa ubingwa hahah .. walitushtaki sisi CAF wakaona wamefika wenyeweSiku zote adui yako muombee njaa
Hapo wangekuwa wakenya ungecheka sana + wanavyo comment nusu ngeli nusu swahili mbovu![]()


..Lala kwanza umpe kampan FIB😊😀😀😀 Akiamka anakuwa kashiba ... kana njaa za alfajiri tuu ila ikifika saa tano hakunaga anae angaika na mambo ya chakula hapo ... sasa hapa nilo out na mie nilale 😀😀😀 bado hujanipa upatde ya chimbo tufanye ku buku mapemaa
Ah halafu kama ana unene fulani hivi
Huyo akiacha kunyonya umlete kwa rich aunt nikae nae kama miezi mi3, akirud ubabe unakua ushapunguaVya urithi vinazidi 🤣🤣
Wahenga walisema..
Ma aunt wanafinyaga watoto 🤣🤣🤣 akuuuHuyo akiacha kunyonya umlete kwa rich aunt nikae nae kama miezi mi3, akirud ubabe unakua ushapungua
Ahsante dearPole sana and get well soon mpendwa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ma aunt wanafinyaga watoto 🤣🤣🤣 akuuu