Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wachagga kwa fursa
1653113247298.jpg
 
Ooh yeah miss popularity
Lakini mashindano yetu bado tuko nyuma sana.
Niliona mapungufu mengi sana kwa contestants..mwenfo wenyewe ni dhida miguu migumu unaona kabisa amejifunzie kambini..hili ni tatizo...uwekezaji unahitajika mapema sio wakati wa mashindano pekee.
Mimi nimeona pia kastahili ndo maana kawa mshindi pia huenda kakidhi vigezo kuanzia kambini Hadi inafika siku ya mashindano...sema nahis kunasehemu iliandikwa miss atoke wapi maana sio kwa comment hizo kwenye mitandao😂😂😂😂
Basi Mmakonde rafiki yangu ukaumia?😅😅
 
Lakini mashindano yetu bado tuko nyuma sana.
Niliona mapungufu mengi sana kwa contestants..mwenfo wenyewe ni dhida miguu migumu unaona kabisa amejifunzie kambini..hili ni tatizo...uwekezaji unahitajika mapema sio wakati wa mashindano pekee.

Basi Mmakonde rafiki yangu ukaumia?

Ooh sahihi bado tuna safari ndefu kama taifa
Emanuela niliona alipata shida kutembea kiasi fulani hiyo imeshushia points .
 
Back
Top Bottom