Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,482
- 203,156
Tena wee ndio mpaka uweke selfieShkamoo dada 😃😃
Tena wee ndio mpaka uweke selfieShkamoo dada 😃😃
Mim pia aisee dada wa watu wanamponda mpaka atakuwa anaogopa kushika simu 😄Hahaha noma
Nimecheka asubuhi ya leo .. haya nasubiri account yake ya Instagram nikashangae Mimi
Jamanii si nimesalimia lakini nipe connection hali mbaya 😄😄Tena wee ndio mpaka uweke selfie
AkuJamanii si nimesalimia lakini nipe connection hali mbaya 😄😄
Ah ustar shida sanaMim pia aisee dada wa watu wanamponda mpaka atakuwa anaogopa kushika simu![]()
🚶♀️🚶♀️ nitarudii 😂😂Aku
Mpaka uselfike 😂
Na kweli itambidi azoeeAh ustar shida sana
Atazoea tu
Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.Tumezidi kumfanya Mungu option aisee. Mungu atuhurumie
Hahaha hamna bhanaLakini mashindano yetu bado tuko nyuma sana.
Niliona mapungufu mengi sana kwa contestants..mwenfo wenyewe ni dhida miguu migumu unaona kabisa amejifunzie kambini..hili ni tatizo...uwekezaji unahitajika mapema sio wakati wa mashindano pekee.
Basi Mmakonde rafiki yangu ukaumia?😅😅
Weeeee haya tulia na mama Pasta Leo, na yeye akuenjoy.Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
👋👋acha nitulie na my wife tuu siku nzimaaa jirani, jioni tutakuja watembeleea muandae kamsosi ka wageni basi 😎😎😎😎
Chai na maparachichi jamani😂😂 mbona tunaonewa sana siye wanyakyusa🙌
👋👋👋Weeeee haya tulia na mama Pasta Leo, na yeye akuenjoy.
Karibuni sana, mtatukuta tunawasubiri kwa hamu ssba
Siku zote adui yako muombee njaa 🤣🤣Hongera kwa RS Berkane kutwa ubingwa wa kombe la shirikisho .
Depal ona comment za wanazengo wanavyo wasema Orlando pirates kisa walitutoa mchezoni simba View attachment 2232680View attachment 2232681
Kha watanzania wamensishinda tabia haha
Yani wanaongea wengine imekuwaje miss kawa mmakonde .. mara wanasema kuna connection gani mamiss tz wawe na komwe hahaha![]()



ndo basi tena.Wanamsema komweHahaha noma
Nimecheka asubuhi ya leo .. haya nasubiri account yake ya Instagram nikashangae Mimi
ni insta au?These are the people who divide you, who follow mere natural instincts and do not have the Spirit. But you, dear friends; by building yourselves up in your most holy faith and praying in the Holy Spirit, keep yourselves in God’s love as you wait for the mercy of our Lord Jesus Christ to bring you to eternal life👋👋👋
Therefore I urge you, [b]brothers and sisters, by the mercies of God, to present your bodies [dedicating all of yourselves, set apart] as a living sacrifice, holy and well-pleasing to God, which is your rational (logical, intelligent) act of worship.
And do not be conformed to this world [any longer with its superficial values and customs], but be [c]transformed and progressively changed [as you mature spiritually] by the renewing of your mind [focusing on godly values and ethical attitudes], so that you may prove [for yourselves] what the will of God is, that which is good and acceptable and perfect [in His plan and purpose for you].
So put to death and deprive of power the evil longings of your earthly body [with its sensual, self-centered instincts] immorality, impurity, sinful passion, evil desire, and greed, which is [a kind of] idolatry [because it replaces your devotion to God].These are the people who divide you, who follow mere natural instincts and do not have the Spirit. But you, dear friends; by building yourselves up in your most holy faith and praying in the Holy Spirit, keep yourselves in God’s love as you wait for the mercy of our Lord Jesus Christ to bring you to eternal life
Morning my wangu😊😍😍😘Ningewapa menu… tatizo hamsalimiagi watu 😂😂
View attachment 2232634