Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
🤣Ili iweje?Siyo umeficha ugali mkubwa zaidi kwenye hotpot kweli ila hapo umetuzuga na kangumi ka mtoto
🤣Ili iweje?Siyo umeficha ugali mkubwa zaidi kwenye hotpot kweli ila hapo umetuzuga na kangumi ka mtoto
Ooh huyo nimemuonaKuna mmoja huyo alikuwa mrefu hatari,was tanga,,yule alikuwa hana hata point,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah shida tupu
Ni huyuhuyu ndo miss tanzania?
Hongera zake. Mimi sikuangalia haya mashindano,yalikuaje??
Si tulikubaliana mimi sio mnyaki jamani

Kha watanzania wamensishinda tabia haha

Morning!! Uko poa??Mornin
Mshindi wa pili alistahili ushindi sema ni mfupiHongera zake. Mimi sikuangalia haya mashindano,yalikuaje??
Amenusurika kuwa Halima Komwe 😅
Ooh yeahAmenusurika kuwa Halima Komwe
Pongezi zake..
Hongera zake.Mshindi wa pili alistahili ushindi sema ni mfupi
Huyu halima mwili wa model umemongezea pointi kwa majudge .
Alijibu swali lakini si vizuri sana
Pia alikuwa anatabasamu mwanzo mwisho .
Wamakonde finally wametoa miss ..
Wa pili ni nani??Mshindi wa pili alistahili ushindi sema ni mfupi
Huyu halima mwili wa model umemongezea pointi kwa majudge .
Alijibu swali lakini si vizuri sana
Pia alikuwa anatabasamu mwanzo mwisho .
Wamakonde finally wametoa miss ..
Mwaka huu wamejitahidi kwa zawadi kwa kweliHongera zake.
Ila wabongo hawajui kutania kama wakenya 😂😂Ooh yeah
Naona wengi wanamtania hivyo
Nilisika ni cabin crew hapo Airport
Napenda maparachichi jamani.
AngelWa pili ni nani??
Kwa zawadi wamejitahidi kweli.Mwaka huu wamejitahidi kwa zawadi kwa kweli
Sijui za ukweli hahaha