cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,169
NipoooooUmelala
NipoooooUmelala
😀😀😀😀 watu wabayaaa, wanafata hatua kwa hatuaa utazikuta picha zimezagaaa ndio tutajua hatujuiii hapo.. tunaweza hama inchi tukarudi baada ya miaka 12Jaman umenikumbusha mbali hayo magazeti🤣🤣🤣
Shilawadu sio watu wazuriii
Khaaa mbona ubabe huo jaman😂😂😂😀😀😀 Kila mtu kalala chumbani kwake.. wafalme wanalala na wenza wao kipindi maalumi tu sio kila siku 😺😺😺😺😺 na kamezoe tayari kila mtu kulala gheto lake mshari anamfata mwenzake mkiona hakuna kufatana basi fresh 😅😅😅😅
Kama gari zinapanda hapo gudiii maana nna allergy na kupanda milima😃Gari zinapanda vizuri 😀😀😀 baridi lipo kali sana.. napapenda ikifika usiku kunakuwa na giza moja matataaa sanaaa hadi rahaaa alafu kimyaaaa 😀😀😀 hapo huwa naenjoy sana
😀😀😀 Kulala kwenye kitanda peke yako kuna noga sio kila siku mnalala wawili.. lazima kuwa na home na ugenini 😅😅😅Khaaa mbona ubabe huo jaman😂😂😂
Me Big boy naskia ananiita hapa so soon namjoin
Na saiv mambo ya mitandao dk 0 kila kona habari zimesambaa😀😀😀😀 watu wabayaaa, wanafata hatua kwa hatuaa utazikuta picha zimezagaaa ndio tutajua hatujuiii hapo.. tunaweza hama inchi tukarudi baada ya miaka 12
Miezi hii ya baridi kulala kwenye tent ni changamoto;. Labda ubebe na mablanket yako. Nilijuta na nilivyo na kibaridi mimi, au labda huko hakuna baridi kihivyo na usiwe muoga wa baridi kama mimiThe view is breathtaking😍
Na sijawah lala kwa tent, itakua bonge moja la adventure... can't wait😊
Kama vipi tuanzie huko, nimefall inlove napo tayari. Mapemaa naweka booking
Hapo ni wewe tu na roho yako japo legal maximum speed ni 70 miles/h na state troopers wapo na unmarked cars kila kona lakini utaziona njemba zinakanyaga mpaka 120 miles.....Mkekaa unanitoa udendaa sanaa ...
Nilitoka. Asante though. Siyo bahati yangu leo!Baki hapohapo
😀😀😀😀 Utashangaaa unapigiwa simu na Soud Brown kutoa majibu na maswali 😅😅Na saiv mambo ya mitandao dk 0 kila kona habari zimesambaa
Basi me kulala mwenyew naona tabu, nishazoea kampan ndio nalala vzuri kwa amani😀😀😀 Kulala kwenye kitanda peke yako kuna noga sio kila siku mnalala wawili.. lazima kuwa na home na ugenini 😅😅😅
Me baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.Miezi hii ya baridi kulala kwenye tent ni changamoto;. Labda ubebe na mablanket yako. Nilijuta na nilivyo na kibaridi mimi, au labda huko hakuna baridi kihivyo na usiwe muoga wa baridi kama mimi
Wewee!Huko wao hawakati miti?
Mie nilikua najuaga, hakna miti, yaan kupo wazi tyuuh.
😂😂😂 hatari😀😀😀😀 Utashangaaa unapigiwa simu na Soud Brown kutoa majibu na maswali 😅😅
Hakuna siyo pazuri wala nini pa kawaida tu. Naona huko Sakina kuko poa zaidi...I am sure uliinjoi sana bageshi....Kule sijawah kufika, nilikua napaskia tu. Nako kuzuri eeh?
Hii ipo maeneo ya Sakina
Yeah bageshi i had a great time kwakwel, mazingira mazuri... pasafiiiiHakuna siyo pazuri wala nini pa kawaida tu. Naona huko Sakina kuko poa zaidi...I am sure uliinjoi sana bageshi....
Yaani hadi tent linavuja vimaji; hamu yote kushney. Imefika asubuhi wenzangu wote wameamka, nikawaambia mimi mniache tu kwanza niendelee kujikunyata daah.Me baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.
Saivi najitahidi kuepuka kusafiri mikoa ya baridi maana mziki wake nauelewa ni mateso unalala na nguo mia mia😂
Hivyo vimaji vikikugusa hee si ndio inazidisha baridi.Yaani hadi tent linavuja vimaji; hamu yote kushney. Imefika asubuhi wenzangu wote wameamka, nikawaambia mimi mniache tu kwanza niendelee kujikunyata daah.
Muda huu ujikute tu upo Mbeya au Njombe mweeeeeeej
Ooh AsanteKanzu langu usilinange kipenzi chake goroko 77
View attachment 2232386
Tinsley
View attachment 2232389
