Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kibonge mwenzetu yule ,[emoji23][emoji23]
Kibonge mwenzetu yule ,[emoji23][emoji23]
HajiaminiWamejibu maswali
Amebaki mmoja
Huyu Ruth alivyojibu mpaka amekwama kuongea
Yeah
Ah akasema sauti imekwama
Kajaribu bahati[emoji23][emoji23][emoji23]Kibonge mwenzetu yule ,[emoji23][emoji23]
[emoji122][emoji122]Yeah
Nimempenda Angel Alfred kajibu vizuri huyo
English imenyooka
Aisee sio shavu hilo [emoji23]Kajaribu bahati[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2232437
Sent using Jamii Forums mobile app
Ah anaweza akawa wa 5
[emoji23][emoji23][emoji23]angepitaAisee sio shavu hilo [emoji23]
Japo si mbaya amefanya jambo jipya
Sasa wanafanya nini?Ah anaweza akawa wa 5
Maswali marahisi kweli leo
Changamoto utakayotatua ukiwa miss
Yanajibika kweli .
Watu wangegoma aisee
Wanachagua mshindi hao majudge
Tokea siku ya kwanza nilimsikiliza,alisema hivyo atasaidia kupunguza vya wamama[emoji23],Watu wangegoma aisee
Huyu halima alivyojibu swali la changamoto akipita bahati tu ... Anasema akiwa miss atasaidia kupunguza vifo vya wamama na kushawishi vijana watoe damu .
Hahahaha kumbe aisee mbona hakubadilisha point siku zote hizo .Tokea siku ya kwanza nilimsikiliza,alisema hivyo atasaidia kupunguza vya wamama[emoji23],
Aombe tu[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana
Point yake ni hiyo,kuna kamoja hivi kalisema kanapenda kucheza mziki[emoji23]nahisi wamelishakafyeka,,,,,,,,,,wengi walikuwa hawana ushawishi.Hahahaha kumbe aisee mbona hakubadilisha point siku zote hizo .
Wakimpa wamempendelea
Sasa huyu otaigo naye amejibu vyema
Duh hawa wadada balaaPoint yake ni hiyo,kuna kamoja hivi kalisema kanapenda kucheza mziki[emoji23]nahisi wamelishakafyeka,,,,,,,,,,wengi walikuwa hawana ushawishi.
Sent using Jamii Forums mobile app