Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
✍️✍️ mama huyo 😇😇
✍️✍️ mama huyo 😇😇
ImeishaaaMama malezi fanya yako yote, mie mshono ni huo, sitaki mshono mwingne.
Fanya kuleta color.
😀😀😀 hii ni private sio tupo tuna enjoy mapaparaziii haoo mezani wanaharibu show bureeeYeah nipee private😅😅😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fashionister tupe vituuu.Ikubane bana. Au kama ungeweza kugonga ka slit dress (mpasuo fulani hivi amazing) afu nyuma kuwe na tail. uuuuuuuuuuuuuuh (mjeda hatokubali kamwe)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shida ya ready made ndiyo hiyo; hadi upate kitu exactly unachokitaka
🤣🤣🤣😀😀😀😀😀 Kesho ni siku ya kila mtu kushinda na mpenzi wake ...
Af inakua sio poa, watachafua hali ha hewa😅😅😀😀😀 hii ni private sio tupo tuna enjoy mapaparaziii haoo mezani wanaharibu show bureee
Hapo chacha, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Imeishaaa
Sema mbaliii 😅😅😅 huwa nikifikiria kwenda nachoka kwanzaa.. ila nakuta hakuna namna naenda tu😅😅😅 pananifaa huko, nipate hot shower😋
Ngoja niiangalie nione!Ikubane bana. Au kama ungeweza kugonga ka slit dress (mpasuo fulani hivi amazing) afu nyuma kuwe na tail. uuuuuuuuuuuuuuh (mjeda hatokubali kamwe)🤣🤣🤣
Shida ya ready made ndiyo hiyo; hadi upate kitu exactly unachokitaka
😀😀😀 unaweza jikuta font page ya uwazi sijui amani 😅😅😅😅Af inakua sio poa, watachafua hali ha hewa😅😅
Alooo! Pole sana anza mazoezi chiefNaufurahia sana!
😅😅😇 Asie na mwana kesho abebe jiwe tu limpe faraja 😀😀😀🤭.. ka FIB kamelala tayari ila zimefika🤣🤣🤣
Eeh kweli, nami nitakua busy na Big boy.
Utampa hi FIB😛
Mradi panafikika ndio la muhimuuuSema mbaliii 😅😅😅 huwa nikifikiria kwenda nachoka kwanzaa.. ila nakuta hakuna namna naenda tu
😀😀😀😀 hapo tukienda tunapumzika wiki mbili kabisa maana sio kwa umbali uliopo na ukijificha huko hushuki chini maana na mlimani juu kabisaaa ... na mahala pa kuishi ni kati kati ya mlima umezingukwa na msituu tuuMradi panafikika ndio la muhimuuu
Huko mbali ndio kwenyew, hamna watu wengi. Full kuskia milio ya ndege tu wakitumbuiza😊
🤣🤣🤣🤣🤣 hamna namna😅😅😇 Asie na mwana kesho abebe jiwe tu limpe faraja 😀😀😀🤭.. ka FIB kamelala tayari ila zimefika
Duuuh ndio maana baridi basi, sasa kuna usafiri wa kufika huko au tunatembea kupanda milima?🙆♀️😀😀😀😀 hapo tukienda tunapumzika wiki mbili kabisa maana sio kwa umbali uliopo na ukijificha huko hushuki chini maana na mlimani juu kabisaaa ... na mahala pa kuishi ni kati kati ya mlima umezingukwa na msituu tuu
😀😀😀 Kila mtu kalala chumbani kwake.. wafalme wanalala na wenza wao kipindi maalumi tu sio kila siku 😺😺😺😺😺 na kamezoe tayari kila mtu kulala gheto lake mshari anamfata mwenzake mkiona hakuna kufatana basi fresh 😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣 hamna namna
Ndio unakalinda sio😛 kanaenjoy.
Asbh muandalie breakfast on bed, siku yenu ya kujidaii
UmelalaZiko wapi?
Gari zinapanda vizuri 😀😀😀 baridi lipo kali sana.. napapenda ikifika usiku kunakuwa na giza moja matataaa sanaaa hadi rahaaa alafu kimyaaaa 😀😀😀 hapo huwa naenjoy sanaDuuuh ndio maana baridi basi, sasa kuna usafiri wa kufika huko au tunatembea kupanda milima?🙆♀️
Jaman umenikumbusha mbali hayo magazeti🤣🤣🤣😀😀😀 unaweza jikuta font page ya uwazi sijui amani 😅😅😅😅