Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Me baridi naiogopa na hua ikiwa kali mwili unawasha navimba kama vile nimetembelewa na mdudu.

Saivi najitahidi kuepuka kusafiri mikoa ya baridi maana mziki wake nauelewa ni mateso unalala na nguo mia mia😂
Diet muhimu sanaa 😅😅😅 napenda sana baridi sijui kwasababu nakaa mahala penye baridi kali sana mda mwingi
 
Na wewe mood zako jinsi hazitabirikagiii

Unamzingua sana baby FIB, sio poa
😀😀 Lazima aende kijeshi jeshi.. kuna raha ya kuzinguana bwana.. hapo mnakuwa washkaji sanaa sio mnakuwa serious kama walinzi wa makilikili kule kwa mawaziri 😀😀😀 majamaaa hayachekagiii makauzu kishenzi
 
Kulala wawili sipendi, mala nyingi naongeaga usiku , au najikuta naomba bila kujua , au nakemea maana wengine tuna roho za kitoto macho yapo wazi kitu kibaya hata kiki cross uapnde wa jirani huku unajikuta unaona unaanza kufoka , so nikajikuta nakuwa sipo comfortabel kulala na watu sana, nikaona kukomesha huu mtatizo na kucholana kila mtu alale kivyake 😅😅😅😅 na nikilala na mtu nalala masaa machache sana ile alafajiri kabisa
Haaa sasa si unampa tabu sana FIB kulala mwenyew kila siku jaman

Umenikumbusha kipindi niko A level boarding, roommate wangu alikua na tabia ya kuongea usingzini😅
Tukitoka prep akisinzia tu anaanza kuongea yale aliyosoma
 
😀😀 Lazima aende kijeshi jeshi.. kuna raha ya kuzinguana bwana.. hapo mnakuwa washkaji sanaa sio mnakuwa serious kama walinzi wa makilikili kule kwa mawaziri 😀😀😀 majamaaa hayachekagiii makauzu kishenzi
Kwanza mkiwa serious sana hata nyuso zinazeeka kabla ya muda woiii
 
Back
Top Bottom