Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Lavender ni rangi nzuri ila ya Utulivu. Plus wewe si ndiyo designer??? Hiyo rangi imevalika sana last year hata this year; designer lazima uje na kitu Cha tofauti. Ungekuwa mgeni wa kawaida tu afu sio kwa jump suit hiyo ingekuwa sawa
Mama malezi fanya yako yote, mie mshono ni huo, sitaki mshono mwingne.
Fanya kuleta color.
 
Ngoja niongee na sponsor nifanye makeke wiki hii birthday mi next week!! Enhee ya kuchanua au ya kubana?
Ikubane bana. Au kama ungeweza kugonga ka slit dress (mpasuo fulani hivi amazing) afu nyuma kuwe na tail. uuuuuuuuuuuuuuh (mjeda hatokubali kamwe)🤣🤣🤣

Shida ya ready made ndiyo hiyo; hadi upate kitu exactly unachokitaka
 
Back
Top Bottom