babykailama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 251
- 243
Alafu kwa nini arudie rudie kumuhoji Waziri mmoja tuuuuuuu! " Eti Jumatatu tutamsikia tena Waziri aliyeongea wiki iliyopita akitoa mkwala au onyo kuwa " ' siku akioteshwa kugombea urais wa nchi, ..............' Sijui atafanya nini sasa?
Semunyu hakuna shida, kipindi kama hiki ungekipa jina la Maelezo ya Viongozi / Mawaziri wa Serikali ya JMT au Dakika 45 za Viongozi wa Serikali na Asasi zake ili ieleweke kabisa kuliko kujificha chini ya kivuli cha dk 45 ambazo viongozi wengine wa kijamii hawazipati.
Pili unatakiwa kuwa makini sana usionekane kuanza kutumika katika mbio za kinyang'anyiro maana ni kinyume sana na ethics za kazi yako na sasa hakuna nafasi ya Urais ambayo imetanganzwa kuwa wazi.