tamsana
JF-Expert Member
- Jan 13, 2012
- 3,248
- 7,119
Suala la Mkataba wa uwekezaji, uendelezaji na uendeshaji wa Bandari ya Tanganyika kupitia DP World limeshika kasi ambapo leo Dr. Possy yupo ITV kwenye kipindi cha DK 45. Kwa kweli huyu Dr. amekuwq mstari wa mbele katika kutoa ufafanuzi kwenye media tofauti tofauti lakini kila nikijaribu kumuelewa nashindwa.
Labda siku akisimama Katibu Mkuu kutoa ufafanuzi nitamwelewa maana Waziri na wataalam wengine ambao wameshawahi kutoa ufafanuzi kuhusu huo mkataba siwaelewi kabisa.
Labda siku akisimama Katibu Mkuu kutoa ufafanuzi nitamwelewa maana Waziri na wataalam wengine ambao wameshawahi kutoa ufafanuzi kuhusu huo mkataba siwaelewi kabisa.