Ule mpango wa kuanzisha TV ya CH ADEMA umeishia wapi?Ndugu yangu Selemani Semunyu,kwa nini huelewi,tumeshakushauri mara nyingi kuhusu hicho kipindi chako,kwamba kuhoji hao viongozi wa kiserikali inatosha,jaribu kuwapa watu wengine nafasi ili kubalance stories na kupata taarifa zingine,kila siku ni Wasira na hali ya kisiasa nchin,mara Nagu na Wawekezaji,mara Joka la mdimu na harakati zake za Urais,2015,.INATOSHA..leta makundi mengine sasa mfano Mawaziri vivuli wa CDM,NGO za kisiasa na kiuchumi na hata wachumi....
Yap chukua hiyo kama ushaur, wa2 wako ni hao hao tu, au hizo dk 45 ni za wa2 wa serikalin tu?? Au kama unataka kifanye kiwe cha LIVE ili na sis tuulize maswal yetu, halafu uendelee kuwaita waheshimiwa hao hao, uone kama watakubal kuja kila mara.
Suala sio TV ya CDM wala Mengi na Audience yake,suala ni kwamba asiwe biased,maana sitegemei hayo makundi mengine Mengi hana interest nayo,.na kwa hili nadhani haitendei haki taaluma ya Uandishi wa habari,kabisa..au basi aruhusu maswaliUle mpango wa kuanzisha TV ya CDM umeishia wapi?
Hapo tungepata kuwaona mastaa wale uwapendao.
ITV mwachie Mengi anaifahamu audience yake.