Haya ndo madhumuni ya thread hii and nothing else. Mbona hamjawahi hata siku moja kusema kuhusu Makwaia wa Kuhenga ambaye huwa ana-feign ignorance kwa kila kitu. Wamekuja na idea nzuri na kipindi kinaendelea ku-improve kila wakati and it is much better today than when it started. Tatizo mnataka kulinganisha BBC, chombo kilichoanzishwa zaidi ya miaka 100 iliyopita, na waandishi mahiri mfananishe na ITV. Huko ni kutotenda haki. Sasa kama anatafuta ukuu wa wilaya kama Marine, mbona Marine hajawa?
Ni discretion ya wenye kipindi kujua ni nani wamuite na aeleze nini. Hiyo demokrasia yenu ifanyeni kwenye TBC ya walipa kodi. Sijawasikia mkilaumu Channel 10 ambayo kila siku huwaita Butiku, Kitine, Kaduma na Lwaitama! Nampongeza Semunyu, anajitahidi.
Huyu Semunyu yuko wapi siku hizi? Hayupo ITV?
Kumbe kuna cha kujifunza kutoka TBC1?Naam, nadhani pia wajifunze kutoka kwa yule babu wa TBC1, this week,in perspective anavyotawala kipindi chake na hasa pale anapomalizia kwa majumuisho, unaona alivyojiaandaa na anajua kile alichotaka watazamaji wake wajue.
Nimemuona leo michuzi...amekuwa soja!! Ana an nyota 2.....LuteliNi luteni kwa cheo na afisa habari wa JWTZ.
Usiulize sana.