TANZIA Seleman Said Bungara (Bwege) afariki dunia

Mzee amekufa na amani ya moyo kabisa.
 
Tunasubiri jambazi jingine la kijani lidondoke tushangilie na wachadema akidondoka tunalia msiba wa taifa mwendo ni huu huu Kuanzia Sasa.
 
" Kilwa kusini mkileta mambo Yenu kinafiki, tunaanza upyaaaaa varangati lile Ile"

Mbunge Bwege Bundala 2018
 
R.I.P
 
Pumzika kwa amani, tutakukumbuka daima kwa mapambano yako katika kupigania haki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…