Rip Bwege ...Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
- Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"
- PreGE2025 - Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki
- Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Atakuwa naye, wewe jipange upeleke posa..!!Kama ana Mtoto wa Kike anayenifaa ni muhimu sana kuendeleza kizazi kama hiki geneology isipotee
RIP, GONE TOO SOONPumzika kwa amani Bwege,
HakikaAtakuwa naye, wewe jipange upeleke posa..!!
Hahaha Huyu Mzee Anaishi kwenye mind za Watz miaka mingine 100 mbeleAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
- Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"
- PreGE2025 - Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki
- Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Bwege ni mwananachama wa chama hiko?Chadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo, kifo hakina chama, hii umefanya Leo wanaona haya kutangaza msiba wa mtu wao, wako kimya kama hakuna kilichotokea
Chadema acheni huo upumbavu wenu.
Pumzika kwa amani Mh. Bwege
Hivi hao chadema si ndiyo kuna wengine walikula michango ya LisuChadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo, kifo hakina chama, hii umefanya Leo wanaona haya kutangaza msiba wa mtu wao, wako kimya kama hakuna kilichotokea
Chadema acheni huo upumbavu wenu.
Pumzika kwa amani Mh. Bwege
Ndo haohaoHivi hao chadema si ndiyo kuna wengine walikula michango ya Lisu
YesBwege ni mwananachama wa chama hiko?
Maccm ni mataahira kabisaMa CHADEMA hayajitambui
AmeenSasa huyu ndiyo amevipiga vita vilivyo vizuri. Apumzike kwa amani
Unashangaa siasa kwenye vifo? Kwani Oktoba kilichosababisha maafa ni nini sio siasa?Chadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo
Hatuna deni na wewe, pumzika kwa amani BwegeAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
- Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"
- PreGE2025 - Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki
- Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Hadaiwi kabisa huyuHatuna deni na wewe, pumzika kwa amani Bwege