The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,168
- 22,162
RIPAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Na atapokelewa sehemu njemaMtu wa maana sana huyu.
RIP ulisimama kwenye haki
Wanafiki Wakubwa Ninyi .Apumzike kwa amani
Bwege hajawahi kuwa na chawa,Wanafiki Wakubwa Ninyi .
Si mnashangilia vifo. Basi endeleeni kushangilia.Bwege hajawahi kuwa na chawa
Nchi Mzima inasononekaHuu ndio msiba sasa
Tunashangilia vya ccmSi mnashangilia vifo. Basi endeleeni kushangilia.
Ninyi mi majinga na ndio maana Mungu anawaonyesha kuwa yeye siyo mjinga kama ninyi na wala HadhihakiwiTunashangilia vya ccm
R.I.P MH.BWEGEAliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
- Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri CUF, hodi ACT Wazalendo"
- PreGE2025 - Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki
- Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA
Alikuwa mtu wa Ukweli. Alipigania HAKI na HAKI itamzika kwa watu wote kumlilia.Ni Msiba usio na Promo yoyote Wala matarumbeta
Lakini cha ajabu umegusa hata watoto wadogo!
Hakika Tenda wema nenda zako