binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,172
- 44,844
Limeisha hilo.Utanipa namba ya boda anaepafaham kwa Mama.
😂😂 Nimejaribu kukumbuka nimecheka sana.Niteseke sio, ila una hila sana. Ndio maana kuna siku ulinipeleka sehemu mchana lakini kuna giza kama sebule ya jehanam. Nilikaa kama nusu saa ndio macho yakaanza kuona kwa mbali.
Si ndiooo!Yote kwa yote, siku iliisha vizuri.
Ulale sasa!