Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Sehemu gani nzuri ya kula bata Singida

Attachments

  • Screenshot_20260915_200023_Gallery.jpg
    Screenshot_20260915_200023_Gallery.jpg
    156.6 KB · Views: 3
Hadi raha, mimi hadi Dezemba.

Umtume boda kwetu kuku wawili tu 😊

Asante kwa kukubali ombi langu! 🤣
We jamaa, nigee basi hiyo namba ya boda. Tayari nipo Singida (A big village). Kesho panapo majaliwa ntakua tena town mama apate kuku, mtu wa muhimu sana yule.

Simba ametoa dozi ya ngapi huko?
 
Kwanini waliita nyokaaa 😂
Nina miaka mi4 sasa toka nianze kukaa Singida kwa story za mtaan pale kulikuwa na UHUNI wakila aina

Kwa sasa wanapaita 24 ila pamepooza sana kuelekea kufa kabis ani sawa na sky way kule stand Mpya nako sifa zilikuwa nyingi sana siku nimefika pahovyo snaa


Singida mkoa mdogo sana kama unapemea amsha amsha utapachukia tu ila sie tusie na mambo mengi tunaenjoy sana weekend unashinda Mbalamwezi hadi saa3 hivi unaingia Ubungo unavunja kuku afu unaoogea Neq Narina Empire hapo ni uwezo wako tu kuna Wanyaturu/Wanyiramba/wambulu Grade A huwezo waona popote Pale
 
Ilikuwa jambo la muda tu nilipita pale 2023 palikuwa moto
Nafika mara ya kwanza nilijiuliza hapa wanapapendea nini yaan kama uchochoroni sasa Jamaa alipafunga kama miezi mi2 hivi pamepigwa super Renovation hataree pamekuwa pazuri saba sema ndio eneo Dogo tu
 
Back
Top Bottom